Nahitaji mahali ambapo nitapata mafunzo ya ufugaji wa kuku

Dodo18

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
315
Reaction score
93
Habari ndungu zangu.

Nahitaji mahali ambapo nitapata mafunzo ya ufugaji wa kuku haswa haswa hawa wa kisasa. Nimefuatilia sana kuhusu ufugaji. na nimepata mwanga kidogo lakini bado haitoshi nataka kujua zaidi kuna vitu vingi sana kwenye ufugaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…