Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,402
- 1,618
Uko vizuri unatakiwa uwe I nampelekea kiasi gani kila mwezi na malipo yake yakoje mie nataka hiyo tenda ndugu
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
mchunguzihuru@hotmail.comNaomba email yako pls
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
Nipm namba yako tufanye kazi..
Mkuu, yeye yupo Uingereza hajui bei za Bongo halafu pili ni kwamba watanzania tusipende kupangiwa bei wewe mwenye biashara ndio unatakiwa kupanga bei kwa mnunuaji kama mnunuaji hajaridhika na bei ata bargain na akishindwa kwako anaenda kwa mwenye bei nzuri zaidi. Mimi nakusanya taarifa kisha narudisha ripoti kwake then maamuzi yanafanyika.Weka hadharani,bei ya jumla ya bidhaa tajwa,eneo nililopo lina vitu hivyo kwa wingi,
Nipe tenda kaka mie nipo Manyoni hapa mzigo unapatikana kwa wingi
Habari zenu wakuu,
Nina rafiki yangu yupo Uingereza anataka mazao tajwa nimtumie akauze nchini kwake kwani kuna soko kubwa la mazao hayo nchini kwake, yanahitajika kwa wingi kadri ya uwezo wako hakuna limit.
1. MAHARAGE MEKUNDU 2. MCHELE 3. UNGA WA MAHINDI 4. KARANGA
KUMBUKA: Mazao hayo yawe grade A.
Lakini pia, nahitaji ushauri wenu wakuu kuhusu taratibu za msingi zinazotakiwa kufuatwa ili kusafirisha mazao hayo nje ya nchi.
Email yangu ni: mchunguzihuru@hotmail.com
unga wa mahindi uingereza?please muchunguzi.
Mkuu umewahi fika Uingereza? Unafahamu kuwa kule kuna African food shops? Au unafikiri kila kitu lazima wanunue wazungu tu?
Huyo jamaa anataka kadri ya uwezo wako kwani anafikiria kufungua na kiwanda awe anafanya packaging hapa hapa kabla ya kupeleka nchini kwake.
yeye ni raiya wa wapi?