Nahitaji Maharage, Mchele, Karanga na Unga wa Mahindi

Bei ya mahindi gunia ni 50000,na karanga kilo ni 1800,karibu..
 
weka bold na msisitizo hapo kwenye grade A. halafu sidhani kama hayo mazao yanaweza kuingia kienyeji tu huko Uingereza, nafikiri kutakuwa na mlolongo wa vibali hadi hilo liweze kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…