Nahitaji maharage ya njano(gololi) na mahindi (yale mazito)

MOSintel Inc

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2016
Posts
817
Reaction score
593
Habari,

Nahitaji maharage ya njano yale ya mviringo (manene) kuanzia TANI 2-5 (kwa wiki).

Pia nahitaji Mahindi mazito(masafi) kuanzia TANI 5-10(kwa wiki) kwa ajili ya kuchakata unga wa sembe.


Location: Kibaha(Boko-Mnemela).

Kwa yeyote anayeweza ku-supply mzigo huo kwa wiki, karibu kwa mazungumzo. Pia tutaandikishana mkataba baada ya maelewano.

Kwa mawasiliano zaidi karibuni PM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…