Nahitaji maharage ya njano kilo 100 nipo dar mabibo kwa bei ya jumla

stan john

Member
Joined
Feb 17, 2022
Posts
76
Reaction score
81
Hellow habari nahitaji anayeuza maharage ya jano mazuri ya jumla jumla anicheki kupitia 0788768480,ni vizuri kama hutatokea mikoa jirani kama Morogoro na Mbeya itakuwa poa sana napatikana dar es salaam
 
Sawa naona umewabagua watu wa karibu hasa Morogoro. Ngoja wa katavi waje!
 
Hellow habari nahitaji anayeuza maharage ya jano mazuri ya jumla jumla anicheki kupitia 0788768480,ni vizuri kama hutatokea mikoa jirani kama Morogoro na Mbeya itakuwa poa sana napatikana dar es salaam
Kama hutatokea au kama utatokea?
Kuna mtu anaweza kuleta toka Singida kesho.
Bei weka hapa
 
Nensa kwenye maduka ya nafaka Sinza, tandika, gongo la mboto, sinza nk
 
Sasa mkuu upewe bei ya shambani si ungeenda kununua mwenyewe shambani? Mtu akupe bei ya shambani na usafiri wa kuja dsm je?
Iyo Bei ya shamba anayo taka asuburi mavuno. Sasa ivi maharage yaliyopo yapo stoo.
 
Hellow habari nahitaji anayeuza maharage ya jano mazuri ya jumla jumla anicheki kupitia 0788768480,ni vizuri kama hutatokea mikoa jirani kama Morogoro na Mbeya itakuwa poa sana napatikana dar es salaam
Nimetapeliwa nimeagiza maharage ya njano alinambia yupi kyela mbeya , nikaagiza maharage kila 50 na nikalipia hela ila sasa kila nikimpigia hapokei na sms hajibu naomba mnisaidie kumsaka apatikane
 
Wakulima na walanguzi, Uzi wenu huu Msijikaushe!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom