Nahitaji mahindi maeneo ya Arusha au Kilimanjaro

Nahitaji mahindi maeneo ya Arusha au Kilimanjaro

Smith Rowe

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
4,319
Reaction score
9,003
Wasalamu Wanajukwaa

Tuache propaganda corona inauwa tujilinde

Kama kichwa kinavyosema. Nahitaji mahindi kwa gunia moja 30000-45000 mkoa kati ya Kilimanjaro au Arusha.
 
Hiyo bei ilikuwa mwezi wa 3 sasa ni 45,000 gunia karatu ndanindani
 
Back
Top Bottom