Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Naenda huko karibuni sema yanatakiwa kuanikwa kwanza mana wanunuzi wana mashart yao kuhusu kutengenezea chakula cha kuku.Manyara yapo mitaa ya katesh
Kama ni mgeni maeneo hayo nitafute Pm nikupe ABCNaenda huko karibuni sema yanatakiwa kuanikwa kwanza mana wanunuzi wana mashart yao kuhusu kutengenezea chakula cha kuku.
Siyo mgeni kivile Mkuu nina kauenyeji fln huko ila kama vipi siyo mbaya pia tukifahamianaKama ni mgeni maeneo hayo nitafute Pm nikupe ABC