Nahitaji Mahusiano na mshangazi

Crawrel

Member
Joined
Aug 8, 2018
Posts
12
Reaction score
2
Wana bodi salaam,
Kama title inavyojieleza hapo juu,nahitaji Mama over35 yrs kimahusiono,nimechoka kudate na viunder 20,Mimi kijana over25yrs najiweza kidogo kiuchumi,Alie serious pm me
 
Naona ushaweka exit plan kabisa hapo ili usije kulaumiwa Najiweza kidogo kiuchumi. sasa mtu ajichanganye kwa kudhan unajiweza sana
 
kijana wa 25 unaitaje wa miaka 35 mshangazi wakati huyo ni dada, mwanamke wa 35 hawezi kukuzaa wewe akiwa na 10 years wewe ndo unazaliwa at least 45 call her mshangazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…