Nahitaji mahusiano ya urafiki wa kimapenzi mpaka ndoa

Status
Not open for further replies.

bintimrembo

Member
Joined
Jul 11, 2018
Posts
30
Reaction score
79
Hi,

Kuna memba fulani amenitia moyo, kwamba inawezekana, ngoja nijaribu tena kwa mara ya mwisho.

  • Mimi ni mwanamke nina miaka 29
  • Naishi DSM
  • Elimu certificate
  • Mwanafunzi wa mwaka wa 2 chuo fulani Dodoma nimeenda kujiendeleza (hapa nakazia tayari nimeshaajiriwa)

Vigezo vyangu:
1. Mnene kiasi
2. Mwalimu wa Primary

Vigezo vya mwanaume:
1. Awe mweusi
2. Elimu hata chuo sawa
3. Umri 32-40
4. Awe anajishuhurisha yaani ajiajiri ama ameajiriwa fine
5. Aishi DSM pia anivumilie kwani nitakuwa nasoma pia

Karibu inbox
 
Hebu jaribu kutupia na kigezo cha dini mkuu, au ww ni mpagani ?
 
Una nongwa gani na sisi wanaume weupe/maji ya kunde? Sasa kama unamtaka mwanaume mweusi si unaweza kupata mtu ambaye mkiwa wote chumbani usiku, anaonekana meno tu 🌚!!

Kha! Acha kutubagua wanaume weupe bhana!! Maana sisi ndiyo wenye mwonekano mzuri zaidi kuliko hao weusi!
 
Ningekuwa sijaoa hii ilikuwa fursa ...........haswaaaa mwalimu........walimu wanajua kupenda Sana .......yaaani ni wakarimu balaaaaaaa harafu sio malaya
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Whaaat???
 
Ningekuwa sijaoa hii ilikuwa fursa ...........haswaaaa mwalimu........walimu wanajua kupenda Sana .......yaaani ni wakarimu balaaaaaaa harafu sio malaya

Kwamba walimu sio nini..????kama unataka stress all the best...!
 
Hebu ngoja nijaribu bahati yangu
 
mm maisha yangu yoote naumwa ugonjwa wa kupenda watu wanene
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…