Nahitaji mahusiano ya urafiki wa kimapenzi mpaka ndoa

Status
Not open for further replies.
Hellow wapendwa! Heri ya pasaka, upweke sasa umetosha! Nahitaj mwanaume mwenye sifa zifuatazo
1.awe mkatoliki
2.awe anaishi dsm
3.awe anajishughulisha
4.umri 33-40
5.awe mweusi
Sifa zangu,
1.umri miaka 29
2.kazi nimeajiriwa serikalin
3.nina shahada ya elimu
4.mnene kias
N.b akubali kupima UKIMWI
 
Kila la kheri, ukapate hitaji na moyo wako
 
Reactions: Lee
Mungu akubarik utampata tu.
 
Hivi kwanini umri unaninyimaga mabinti warembo?
 
Kama una mpango wa kuwa mke ndani ya miaka miwili ijayo njoo tuyajenge
 
All is well....
 
Kwa nini wa mikoani unatutenga? Au hatuna swaga?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…