Nahitaji maiki ya kutengenezea maudhui ya youtube

Nahitaji maiki ya kutengenezea maudhui ya youtube

Acha Maneno

Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
36
Reaction score
46
Msaada tafadhali.

Mwenye maiki nzuri (USB) ya kurekodia maudhui ya Youtube naomba anisaidie.

Bajeti yangu ni 150,000

Asante na mbarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom