Nahitaji majogoo kwa ajili ya mbegu. White leghorn

MwanzoMwisho

Member
Joined
Aug 11, 2009
Posts
34
Reaction score
0
Mwenye majogoo ama taarifa yoyote ntakapoweza pata majogoo aina ya white leghorn tujulishane tafadhali.
 
Cheki uzi wangu wa Jana wa "majogoo makubwa ya kenbro" ukiridhika nipigie tufanye biashara
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=207142&d=1417451967
 
Mkuu Kama ni Majogoo wa mbegu unatakiwa kutafuta white Leghorn F1 kitu ambacho najua Tanzania hakuna mwenye F1 unayo taka wewe unakuta yameisha crosiwa na yenyewe yamepatikana kwa crosing hivyo hayawezi kuwa ya mbegu. Hivyo kama uko vizuri ni ku import kutoka nje vifaranga wake.
 
Wanapatikana wapi hao F1 na ni zipi za taratibu za kuwaagiza kutoka huko nchi za nje. Je? Kuna uwezekano wa kupata anwani zao.
Nalog off
 
Mkuu mtoa mada wana faida gani hao majogoo unaowaulizia kama vipi nami niwatafute?
Nalog off
 
Back
Top Bottom