Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu,
Nahitaji majogoo wa kisasa ili wapande kuku wa kienyeji kupata vifaranga chotara. Kwa mwenye nao hasa maeneo ya Mwanza anijulishe tafadhali ili niweze kununua kutoka kwake.