Nahitaji malori mengi yanayorejea Tanzania kubeba mzigo mkubwa hapa Zambia

Abdoun

Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
92
Reaction score
179
Habari,

Niko Zambia hapa na nahitaji malori kama 50 hivi yanayorejea Tanzania kutokea DRC au Zambia.

Kuna mzigo wa kubeba kuleta Dar-es-Salaam.

Mawasiliano please PM me your phone number.

Ahsante.
 
Ngoja nikusaidie kutangaza kwingineko
 
Malori kibao tu yapo hapo Kitwe yalipeleka mzigo Zambia saizi wanadunduliza kuona kama watapata angalau hata shaba warudi nayo TZ. Waone Overland Logistics au Usangu
 
Habari,

Niko Zambia hapa na nahitaji malori kama 50 hivi yanayorejea Tanzania kutokea DRC au Zambia.

Kuna mzigo wa kubeba kuleta Dar-es-Salaam.

Mawasiliano please PM me your phone number.

Ahsante.
Kupakia Mzigo gani na terms za malipo zikoje?
Hebu jibu hayo maswali inbox tafadhali
 
Back
Top Bottom