Abdoun Member Joined Jul 19, 2014 Posts 92 Reaction score 179 Jul 18, 2021 #1 Habari, Niko Zambia hapa na nahitaji malori kama 50 hivi yanayorejea Tanzania kutokea DRC au Zambia. Kuna mzigo wa kubeba kuleta Dar-es-Salaam. Mawasiliano please PM me your phone number. Ahsante.
Habari, Niko Zambia hapa na nahitaji malori kama 50 hivi yanayorejea Tanzania kutokea DRC au Zambia. Kuna mzigo wa kubeba kuleta Dar-es-Salaam. Mawasiliano please PM me your phone number. Ahsante.
Abdoun Member Joined Jul 19, 2014 Posts 92 Reaction score 179 Jul 18, 2021 Thread starter #2 Bado nahitaji trucks..
kiboboso JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 9,323 Reaction score 12,594 Jul 18, 2021 #3 Ni mzigo gani mkuu.
mwagito25 JF-Expert Member Joined Aug 11, 2013 Posts 633 Reaction score 352 Jul 19, 2021 #4 Wewe ndio andika namba yako hapa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jul 19, 2021 #5 Abdoun said: Habari, Niko Zambia hapa na nahitaji malori kama 50 hivi yanayorejea Tanzania kutokea DRC au Zambia. Kuna mzigo wa kubeba kuleta Dar-es-Salaam. Mawasiliano please PM me your phone number. Ahsante. Click to expand... Ngoja nikusaidie kutangaza kwingineko
Abdoun said: Habari, Niko Zambia hapa na nahitaji malori kama 50 hivi yanayorejea Tanzania kutokea DRC au Zambia. Kuna mzigo wa kubeba kuleta Dar-es-Salaam. Mawasiliano please PM me your phone number. Ahsante. Click to expand... Ngoja nikusaidie kutangaza kwingineko
kabila01 JF-Expert Member Joined Apr 21, 2009 Posts 4,235 Reaction score 4,964 Jul 19, 2021 #6 Malori kibao tu yapo hapo Kitwe yalipeleka mzigo Zambia saizi wanadunduliza kuona kama watapata angalau hata shaba warudi nayo TZ. Waone Overland Logistics au Usangu
Malori kibao tu yapo hapo Kitwe yalipeleka mzigo Zambia saizi wanadunduliza kuona kama watapata angalau hata shaba warudi nayo TZ. Waone Overland Logistics au Usangu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jul 19, 2021 #7 Abdoun said: Habari, Niko Zambia hapa na nahitaji malori kama 50 hivi yanayorejea Tanzania kutokea DRC au Zambia. Kuna mzigo wa kubeba kuleta Dar-es-Salaam. Mawasiliano please PM me your phone number. Ahsante. Click to expand... Kupakia Mzigo gani na terms za malipo zikoje? Hebu jibu hayo maswali inbox tafadhali
Abdoun said: Habari, Niko Zambia hapa na nahitaji malori kama 50 hivi yanayorejea Tanzania kutokea DRC au Zambia. Kuna mzigo wa kubeba kuleta Dar-es-Salaam. Mawasiliano please PM me your phone number. Ahsante. Click to expand... Kupakia Mzigo gani na terms za malipo zikoje? Hebu jibu hayo maswali inbox tafadhali