Nahitaji maombi yenu

Nahitaji maombi yenu

.....tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu
Kesho natarajia kwenda hospital kuchekiwa macho nahisi yana shida,
kwa sababu kila nikifungua wallet sioni kitu.

MUNGU AWABARIKI SANA.
Kweli we msomi hewa kama lilivo jina lako
 
.....tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu
Kesho natarajia kwenda hospital kuchekiwa macho nahisi yana shida,
kwa sababu kila nikifungua wallet sioni kitu.

MUNGU AWABARIKI SANA.
Ha ha pengine na wallet yako jewa[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom