Nahitaji Maombi yenu

Elia

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Posts
3,425
Reaction score
568
Hapa ndio mahali unaweza pata msaada wakati wowote, sinamtu mwingine naweza wasiliananae kwa sasa. Naomba maombiyenu ili tufike salama. Hali ya hewa sionzuri ninakokwenda, tumekaa hewani more than two hrs. Tumefanya emergence landing,
 
Pole sana Mwenyezi mungu atawalinda wewe na wenzio Inshallah kwa hilo na jengine Ameen.
 
Tumeshuka abiria wote, ndege inajaza mafuta hapa ni Richmond, tunasubiri utaratibu utaopangwa...
 
Mwenyezi mungu yuko pamoja na wewe atakufikisha salama safari yako......
 
Pole sana mkubwa! Ondoa hofu coz mtafika salama i believe. Mmefanja jambo jema kuland nadhan mtaendelea pindi hali itakapokua safi! Usafiri wa hanga roho mkononi! Mungu yupo nanyi mkubwa, worry not!
 
Kimeochangu nashindwa kusoma/sioni mlichoandika ila updates tumetangaziwa kurudi kwenye ndege kuendelea na safari. Thanks
 
Thank God, we are safe now. Thank u all
 
Hapa ndio mahali unaweza pata msaada wakati wowote, sinamtu mwingine naweza wasiliananae kwa sasa. Naomba maombiyenu ili tufike salama. Hali ya hewa sionzuri ninakokwenda, tumekaa hewani more than two hrs. Tumefanya emergence landing,
<br />
<br />
Yehova Yire he will take a lead, amini mtafika salama.
 
Hivo vindege vya migodini ndivo vilivyo, kama hujazizoea unaweza piga ukunga,ila havidondokagi,nina imani utafika salama tu Elia
 
mkuu tupe update, baada ya kunyonya mafuta safari imeendelea?
 
poleeee. God is in control,u will be safe. we miss u,feedback plzzzzzz
 
Hivo vindege vya migodini ndivo vilivyo, kama hujazizoea unaweza piga ukunga,ila havidondokagi,nina imani utafika salama tu Elia
Dah nimecheka sana hii post. ni kwel kama hujavizoea unaeza piga mayowe, boss wangu mmoja aliapa kutopanda tena. naamin mkuu elia alifika salama.pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…