Nahitaji marafiki ambao tunaendana

antar100

Member
Joined
Feb 8, 2020
Posts
26
Reaction score
31
Habari ndugu zangu Niko hapa kutafuta marafik ambao tuna endana kwa vitu tunavyo penda na sio kama Sina marafik ila nahitaji marafik wapya.binafsi Mimi ni kijana Nina 28 age.

Job: nimeajiliwa
Relationship: sijaoa na Sina girlfriend ila Nina mtoto mmoja anamiak 10.
Naish dar mbezi ya kimara

Vitu nipendavyo
Movies, kutoka out iwe club au beach,
Games tena sana, kula na kusafili

Kwa ambaye atakaye penda tuwe marafik anaweza nichek asanten



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu maili moja tuyajenge
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimo hutaki ,na hizo pesa unazotumia kwenye kutoka out zinatokana namshahara tu ,au ndowale wanaosemaga Mimi sinywagi ila wape hao bill yangu...napenda kuona mnavocheza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…