Wakomeshe kwa picha ❤️ WanguEti wananiita me dume[emoji26]
Eti wananiita me dume[emoji26]
Hahahaha tena ile nzuri nzuri, wakome ,hawajui kuwa wewe mcute eehWakomeshe kwa picha [emoji3590] Wangu
Kashaweka picha selfika labda arekodi video then aseme mimi ndo linah baby ndo watu wataamini aisee 😂Weka picha full uwathibitishie
Naona hawamjui linahbaby aiseHahahaha tena ile nzuri nzuri, wakome ,hawajui kuwa wewe mcute eeh
Yes dear potezea tuHahaaa acha tu wawaze hvo hvo [emoji126]
Inaonesha u mzuri sana kwenye nasaha...Jamani kwani hawajui kuwa wewe ni binti tena mzuri mzuri ?
How comes wansema hivyo dear anyway potezea wewe si unajijua wewe ni nani ?
Nitumie mm ,ili niwathibitishie wanazengoAisee ata kaa itokee kumfurahisha mtu mmoja hyo picha si bora nimtumie.... Uko pm [emoji12][emoji12]
Wazo zuri hili afanyie kaziKashaweka picha selfika labda arekodi video then aseme mimi ndo linah baby ndo watu wataamini aisee [emoji23]
We waaache atumie moja matataNaona hawamjui linahbaby aise
Ewaaa aniteua mm nije kuthibitisha hukuWe nae unanitamanisha hasira ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787]basi mtumie mtu chake tu inatosha
Hamna kawaida tu ila sipendi kuona mtu amekata tamaa juu ya jambo fulani so najitahidi nimshauri kwa namna mojaInaonesha u mzuri sana kwenye nasaha...
Na si mwingine huyo MTU ni mm hapaBado [emoji23][emoji23]wasubirie surprise mtu mmoja tu atasibitisha kuwa me ni linahbaby