Lawrance franci
Member
- Oct 14, 2011
- 98
- 121
Ohh njoo Serengeti MkuuHabari zenu mimi ni dada nina miaka 24 niko mwanza naitaj marafiki wa kuchat nao na kubadilisha mawazo ukiwa tyr ni PM
😂 😂Hivi sijakwambia siku hizi huyo chaliifrancisco kaniweka kwenye kundi la ex zake?
😂 😂
Unasubiri nini? Mtupie kwenye z huko..!!
Woooiiii,Nampa muda kwanza ajitafakari huko aliponiweka kabla sijafanya maamuzi magumu
Woooiiii,
Hiyo nguvu unatoa wapi? Wewe tayari umeshatekwa maskiiini..
Joanah haya matani huwa ni ya ukweli. Ila hakuna shidaNilikuwa natania Kijana Mstaafu
Njoo DMHabari zenu mimi ni dada nina miaka 24 niko mwanza naitaji marafiki wa kuchat nao na kubadilisha mawazo.
Yeah awe wa ME au KE ni sawa t
Nakusubiri PM tutajua huko huko kama ni Ke ama MeYeah awe wa ME au KE ni sawa tu
Duh ,aseeHabari zenu mimi ni dada nina miaka 24 niko mwanza naitaji marafiki wa kuchat nao na kubadilisha mawazo.
HahahahaAlafu tukutumie nauli uingie mitin...
Habari zenu mimi ni dada nina miaka 24 niko mwanza naitaji marafiki wa kuchat nao na kubadilisha mawazo.
HahahahaAlafu tukutumie nauli uingie mitin...
Oky am waiting
Hadi hapa kesi ishaishanicheki kwenye namba hii 0788 27 17 27
Hahahaha, umejiandaa kwa lolote sioNakusubiri PM tutajua huko huko kama ni Ke ama Me
Mbn ss wengine hutujibu ?Niko fasta sana kujibu na kila mtu namjibu wala aita kuwa kama unavo fikilia[emoji5]
Dah mrembo km wewe MTU anadiriki kukuacha ?Hivi sijakwambia siku hizi huyo chaliifrancisco kaniweka kwenye kundi la ex zake?