Pelham 1 JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 548 Reaction score 99 Oct 18, 2013 #1 Mambo zenu Wadau mlio jukwaani Nahitaji Marafiki tunaoweza kuchat,kufahamina,nakubadilishana mawazo mbali mbali ya michakato ya maisha ikiwezekana hata kupeana namba za mawasiliano. Alie tayari anipm!!
Mambo zenu Wadau mlio jukwaani Nahitaji Marafiki tunaoweza kuchat,kufahamina,nakubadilishana mawazo mbali mbali ya michakato ya maisha ikiwezekana hata kupeana namba za mawasiliano. Alie tayari anipm!!
R rugwebe78 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2013 Posts 265 Reaction score 78 Nov 7, 2013 #2 marafiki wamegoma? au wameishaku pm?
M.E.M.A JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 1,373 Reaction score 472 Nov 8, 2013 #3 Hebu nenda kwenye post yangu ya BBM kisha dondosha pin pale kama unayo.