Kichwa cha habari chahusika,
Marafiki hao naomba wawe na sifa zifuatazo....
Unachotakiwa ni kuni-PM jina,email na number zako za simu then tuangalie jinsi ya kuunga hii network kwa kuanzia tu tutajiunga kwa emails na kisha Whatsup.
Marafiki hao naomba wawe na sifa zifuatazo....
- Wasio na tamaa
- Wenye uvumilivu na wanachokifanya.
- Wenye kujituma
- Wabunifu
- Uwe tayari kufanya kitu kwa niaba ya aliyekushirikisha issue hiyo
- Mwisho watoke kwenye mikoa ifuatayo
- Arusha
- Iringa
- Mbeya
- Morogoro
- Mwanza
- Dar es Salaam.
- Dodoma
Unachotakiwa ni kuni-PM jina,email na number zako za simu then tuangalie jinsi ya kuunga hii network kwa kuanzia tu tutajiunga kwa emails na kisha Whatsup.