Nahitaji marafiki wakupeana chanel za business na kushirikiana kibiashara.

Notifier

Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
91
Reaction score
12
Kichwa cha habari chahusika,
Marafiki hao naomba wawe na sifa zifuatazo....
  1. Wasio na tamaa
  2. Wenye uvumilivu na wanachokifanya.
  3. Wenye kujituma
  4. Wabunifu
  5. Uwe tayari kufanya kitu kwa niaba ya aliyekushirikisha issue hiyo
  6. Mwisho watoke kwenye mikoa ifuatayo

  • Arusha
  • Iringa
  • Mbeya
  • Morogoro
  • Mwanza
  • Dar es Salaam.
  • Dodoma
Karibuni wote na hii ni kwa jinsia zote.
Unachotakiwa ni kuni-PM jina,email na number zako za simu then tuangalie jinsi ya kuunga hii network kwa kuanzia tu tutajiunga kwa emails na kisha Whatsup.
 
Wakuu mbona mnachelewa? you have nothing to loose.
 
Unataka shule bila malipo? Watu wa mikoa uliyoikataa walioko mikoa iliyoitaja wanaruhusiwa?
 
Namba zangu whatsup ni 0719305913 nitafute tujuzane
 
You must be kidding. Ina maana sisi wa Sikonge hatujui biashara?

Labda ndiyo tungelikuwa na mawazo mazuri zaidi.

Ngoja nika-design mtambo wangu wa kutengeneza gongo maana ndiyo mawazo yetu.
 
mhh!!! makubwa. Ngoja nikae pembeni mimi mmakonde......:embarrassed:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…