Nahitaji marafiki

Nahitaji marafiki

Wisertz

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2018
Posts
219
Reaction score
302
Mambo,
Habari zenu wanafamilia, naitwa Colins, mkaka umri wa miaka 33, mjasiliamali na muajiriwa. Ninapendelea kusafiri, kutembea, mazoezi, mpira wa miguu, kuogelea, volleyball na kusafiri. Pia muziki na movies. Rafiki no mtu awaye yote yawezekana akawa ndugu m mtu ambaye mnakutanishwa kwa njia ya majukumu, mazingira hata mitandao. Hivyo kwa yoyote mwenye utayari pls, naomba unitumie ujumbe mfupi wa maandishi PM nami nitakujibu na kukupatia mawasiliano zaidi. Asanteni.
Nb. Nazungumza kiswahili na kingereza vizuri.
 
Pouwah!
 
Dah braza kama una michongo ya kujiongezea kipato tuelekezane
 
Ideas ni nyingi tu, ila uhalisia hutegemea na mazingira pia. Ila ktk hili, nazungumzia marafiki hakika.
 
Back
Top Bottom