Nahitaji marafiki

Hapana, maji tu
Dah! Yani wewe huna gharama... Wewe ndio unafaa kutolewa outing!
Niliwahi kuwatoa wadada flani outing, wacha waanze kuagiza mavinywaji ya gharama! Zile chupa za elfu hamsini, mwingine ya laki! Nikaenda chooni bwana. Si wakajua nakimbia bili. Kurudi nakuta wameyarudisha na wameagiza Soda. Nikasema hapa sasa tutakwenda sawa!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umenichekesha, mi hata sina hizo nakuja na maji yangu tu kwenye chupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…