Nahitaji marafiki

Hellow nahitaji marafiki wa kubadilishana mawazo ikiwezekana tujenge undugu kabisaa, jinsia yyt. Umri wwt ,naamini katika kukutana na watu vingi tunajifunza.

PS Wale wa kusema mtaani kwenu hawapo sijui ,naomba mniache kidg
Sara na Mimi nikumbuke hautajilaumu na itapendeza kama utakuwa unakunywa pombe ili tukitoka tusiishiwe haraka story AF nikakutongoza
 
Sara na Mimi nikumbuke hautajilaumu na itapendeza kama utakuwa unakunywa pombe ili tukitoka tusiishiwe haraka story AF nikakutongoza
Umetisha mkuu[emoji16][emoji23]
 
Friends are not always people who are familiar with us,and sometimes we cannot present life without them. Karibu sana
 
Unauhakika gan kama marafiki wanakuhitaji??? Una nini chakutoa katia huo urafiki?
 
Sina cha kutoa zaidi ya mawzo na ideas na amini ndo kitu kikubwa ,wapo niloona wananihitaji ,wasonihitaji nimeachana nao
Another question please mkuu
Unauhakika gan kama marafiki wanakuhitaji??? Una nini chakutoa katia huo urafi?
 
Sina cha kutoa zaidi ya mawzo na ideas na amini ndo kitu kikubwa ,wapo niloona wananihitaji ,wasonihitaji nimeachana nao
Another question please mkuu
Basi vizuri
Katika urafiki inabidi kila mtu awe muwazi kwa mwenzake, wanawake mnatabia ya kuwa na shida lakini hamsemi, ninapokua rafiki yako unanihakikishia utakua muwazi na mkweli katika mazingira ya yoyote yale, tofauti na hapo tutarudi kwenye bongo movie kuigiziana tu
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…