SANGA ONE Senior Member Joined Jul 7, 2012 Posts 125 Reaction score 28 Mar 3, 2016 #1 Habari za mchana wakubwa, Moja kwa moja niende kwenye mada.Nahitaji toyota mark x namba yoyote ile hata A kikubwa iwe katika hali nzuri.Bajeti yangu 8million. Asante na karibu kwa kuchangia kama huna neno please pita kimya kimya.
Habari za mchana wakubwa, Moja kwa moja niende kwenye mada.Nahitaji toyota mark x namba yoyote ile hata A kikubwa iwe katika hali nzuri.Bajeti yangu 8million. Asante na karibu kwa kuchangia kama huna neno please pita kimya kimya.
Mwanyoro JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 635 Reaction score 457 Mar 3, 2016 #2 Jamani mwenye nayo amusaidie mdau