M Mabala21 Senior Member Joined Jul 24, 2021 Posts 139 Reaction score 89 May 14, 2023 #1 Wadau, Naitaji mashamba ya kununua katavi wilaya ya mlele hasa, naombeni connections. Pia naomba kujua upatikanaji wa mifugo huko na bei zake hasa ngombe, mbuzi na kuku wa kienyeji. Ahsanteni.
Wadau, Naitaji mashamba ya kununua katavi wilaya ya mlele hasa, naombeni connections. Pia naomba kujua upatikanaji wa mifugo huko na bei zake hasa ngombe, mbuzi na kuku wa kienyeji. Ahsanteni.
Marlex Jr El JF-Expert Member Joined Nov 6, 2015 Posts 1,819 Reaction score 2,415 May 14, 2023 #2 Mashamba yapo utauziwa
M Mabala21 Senior Member Joined Jul 24, 2021 Posts 139 Reaction score 89 May 14, 2023 Thread starter #3 Marlex Jr El said: Mashamba yapo utauziwa Click to expand... shukurani boss, ni bei gani kwa eka sasa huko?
Marlex Jr El said: Mashamba yapo utauziwa Click to expand... shukurani boss, ni bei gani kwa eka sasa huko?
Marlex Jr El JF-Expert Member Joined Nov 6, 2015 Posts 1,819 Reaction score 2,415 May 18, 2023 #4 Mabala21 said: shukurani boss, ni bei gani kwa eka sasa huko? Click to expand... Kuanzia 70,000/= nchi kavu
Mabala21 said: shukurani boss, ni bei gani kwa eka sasa huko? Click to expand... Kuanzia 70,000/= nchi kavu