Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naelekea kariakoo nikakuulizie kwa wanaouza juisi za miwa pale.Habari ndugu zangu,
Leo nimekuja hapa mapema hii nikiwa na shida ya hii mashine ya kutengeneza juice ya miwa, nahitaji kutoka kwa mtu atakayeweza kunikodisha na sio kununua. Awe Dar es salaam na bei ya kukodisha iwe affordable