Habari wakuu.
Miezi michache iliyopita nilianzisha biashara ya vilainishi vya magari. Biashara inakuwa vizuri lakini ninaona kuna haja ya kuongeza huduma nyingine.
Ninahitaji mashine ya ku-press bush je naweza ipata wapi??? Na je naweza pata angalau bei ya soko ya mashine hiyo. Wateja wangu wanalalamika kwanini sina hiyo mashine. Asanteni