Mikhail Tal JF-Expert Member Joined May 12, 2016 Posts 421 Reaction score 778 Oct 22, 2020 #1 Habari wakuu nahitaji msaada wa kupata mashine ya kukamua juice ya miwa. Nipo Dar es salaam kama kuna mtu unaweza kunielekeza zilipo kwa hapa Dar ntakushukuru sana Au kama unaweza kunisaidia contacts za mahali nitapata hizo mashine.
Habari wakuu nahitaji msaada wa kupata mashine ya kukamua juice ya miwa. Nipo Dar es salaam kama kuna mtu unaweza kunielekeza zilipo kwa hapa Dar ntakushukuru sana Au kama unaweza kunisaidia contacts za mahali nitapata hizo mashine.
Podcast JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 767 Reaction score 901 Oct 22, 2020 #2 Nenda Kariakoo karibu na kituo cha mwendo kasi gerezani, zinauzwa hapo
Mikhail Tal JF-Expert Member Joined May 12, 2016 Posts 421 Reaction score 778 Oct 22, 2020 Thread starter #3 Podcast said: Nenda kariakoo karibu na kituo cha mwendo kasi gerezani, zinauzwa hapo Click to expand... Thanks
Podcast said: Nenda kariakoo karibu na kituo cha mwendo kasi gerezani, zinauzwa hapo Click to expand... Thanks