burhan6196 Member Joined Aug 23, 2018 Posts 65 Reaction score 84 Nov 6, 2018 #1 Habari za muda huu, Nilikua naulizia sehem zinapo uzwa mashine za kuhifadhia maziwa na bei zake. Uwezo wa kuhifadhi uwe kuanzia ltr 100 na kuendelea. Ahsante
Habari za muda huu, Nilikua naulizia sehem zinapo uzwa mashine za kuhifadhia maziwa na bei zake. Uwezo wa kuhifadhi uwe kuanzia ltr 100 na kuendelea. Ahsante
IDDY SEIF MHANDO Senior Member Joined Apr 5, 2012 Posts 117 Reaction score 110 Nov 6, 2018 #2 Chukua hiyo hiyo pichani itakufaa sana...acha kuhangaika sana
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,772 Nov 6, 2018 #3 Pasteurizer nzuri mpaka uagize.. bei inaanzia milion 7 na kuendelea
meddie JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 434 Reaction score 125 Nov 6, 2018 #4 IDDY SEIF MHANDO said: Chukua hiyo hiyo pichani itakufaa sana...acha kuhangaika sana Click to expand... Husiseme hivi si ustaarabu
IDDY SEIF MHANDO said: Chukua hiyo hiyo pichani itakufaa sana...acha kuhangaika sana Click to expand... Husiseme hivi si ustaarabu