Nahitaji mashine ya kusaga na kukoboa unga wa sembe

Kusaga na kukoboa mahindi...
Unga wa sembe unausagaje?
Instagram kuna wauzaji wengi wa machine hizi...unaweza pitia uko alafu baadae ukaenda physically
 
Hakuna iyo mashine

Hakuna iyo mashine kaka ya kusaga na kukoboa tani30 kwa siku 🤣🤣
Labda ukanunue zile za kichina ila za kibongo za kuchonga hapan haipo
Una uhakika hakuna mkuu? Kabla hujatoa ushauri usichokijua fanya tafiti kidogo mkuu
Hapo hata kinu namba 75 kinasaga hizo tani mota hp 30 tu
Hizo za kuchina Kama anataka kulia miezi sita mingi sana acha akanunue


Ushauri wa bure baadhi ya biashara kabla hujaingia mtafute anayefanya hiyo biashara pata ABC au wataalamu wapo

Mwisho unahitaji mashine za Kusaga na Kukoboa 0763542515 tupo tabata
 
Acha uongo bro hakuna hiyo mashine inayoweza kusaga mahindi gunia 300 kwa siku labda angesema tani 30 kwa siku nne au tano hiv tena asiwe na mshine moja ziwe hata mbili hivii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…