Incubator kama umeme ukikatika sio tatizo kwani joto aliishi hapo hapo umeme ukikatika,mimi wakati nnaishi kijijini nilikua nnaonaga kuku wanaolalia mayai wanatokaga kwenda kupiga story na mashost zao au kwenda kutafuta msosi wakiyaacha mayai kwa zaidi ya lisaa lakini mwisho wa siku vifaranga vinatotolewa!Je akuna mwana JF aliyewai ona haya?
ha ha ha ha ha ha!!kweli kiongozi,na kama issue ni joto unaweza kuiweka kwenye jiko la mkaa pia!!!
aaaah!mkuu si ndo yanahitaji joto kwa ajili ya kutotolea!!!!Hahahahaaaaaaa, kwenye jiko la mkaa si yataiva sasa? hapo itabidi uyale yote!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Unauzaje hiyo mkuu na zipo nyingi?kama unataka ndogo isiyodhidii mayai 60,mimi ninayo nauza.karibu.
Unauzaje hiyo mkuu na zipo nyingi?