Nahitaji matured Man tuanze safari ya ndoa

Ndio walivyo wanawake wakiwa under 31 wanajionaga dunia yote ya kwao, wanaringa hatarii yaani full kunata, ukiwafata kwa lengo la kuwaoa wanakuona kama boya flani hivi.
Sasa subiri wavuke huo umri wawe above 30 yoyote tuu yule atakae kutana nae akimwambia ana lengo la kumuoa ye sawa tuu mwisho wa siku wanakuchakaza wee wanakuachia na mtoto,
Unaanza kijilaumu una mikosi kumbe ujinga wako tuu mwenyewe [emoji57][emoji57]
 
Joined 15/02/2020 tayari ushaanza kutafuta mume?? subiri kwanza wala tunda kimasihara ni wengi humu
 
Usikute wewe ndio uliye mpa mimba dada wa watu akiwa kigori 23, ukakimbia..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa kukomenti, umepata like tano....hongera sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha acha kumnyanyapaa mgonjwa [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke kuringa muhimu. Sasa unataka wanaume ndio waringe[emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…