Nahitaji mawakala wa kuagiza nguo toka nje ya nchi

amatuks

Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
69
Reaction score
10
Waungwana nataka kuanza ujasiriamali kwa kufungua duka la nguo. Kwakuwa mtaji wangu si mkubwa kuniwezesha kufuata mzigo nje ya nchi naomba kama kuna watu wanaagiza mzigo toka nje na kuuza kwa bei ya jumla tuwasiliane tuweze kufanya biashara.
Natanguliza shukrani.
 
Kuna mtu yuko china kazi yake ni kukuletea utakacho from china ikiwepo na nguo Kama una afiki ni pm nikupe namba yake
 
bila shaka mkuu utakuwa unahitaji wakala ambae huko kisheria yaan kasajiliwa ili uwe na uhakika na ki2 unachofanya.
 
Kama ni nguo za kike niPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…