Jiko Koa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2023
- 248
- 825
Nawahitaji mawakala wa mauzo kwa mkoa wa Morogoro na Wilaya zake zote.
Bidhaa Ni JikoKoa, Aina ya majiko ya kisasa yanayopunguza matumizi ya mkaa kwa hadi 70%.
Majiko Ni mazuri na yanapendwa Sana. kampuni yetu inauza jiko moja kwa 46,000 tu, ukilinganisha na kampuni zingine wanaouza 120,000 kwa jiko moja! Kwa unafuu huo, majiko yetu yanauzika zaidi.
Malipo yapo ya Aina tatu:
1. COMMISSION ya 7,000 kwa jiko moja
2. NAULI Aina mbili;
3. BONUS NI ZA AINA TATU:
-wakala akiuza majiko 30 Hadi 44 atapata bonus 80,000 mwezi huo.
NB: Ni kwa Mkoa wa Morogoro tu!
Wakala njoo WhatsApp au simu au SMS 0621149433

- wakala akiuza majiko 29 kushuka chini atapata nauli 57,500 kwa mwezi.
- wakala akiuza majiko kuanzia 30 na kuendelea atapata nauli ya 115,000 kwa mwezi.
3. BONUS NI ZA AINA TATU:
-wakala akiuza majiko 30 Hadi 44 atapata bonus 80,000 mwezi huo.
- Akiuza majiko 45-59 atapata bonus ya 180,000.
- Akiuza majiko 60-79 atapata bonus ya 275,000.
- Akiuza majiko 80-100 atapata bonus ya 425,000.
NB: Ni kwa Mkoa wa Morogoro tu!
Wakala njoo WhatsApp au simu au SMS 0621149433