Nahitaji mawakala wa mauzo kwa Mkoa wa Morogoro tu

Jiko Koa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2023
Posts
248
Reaction score
825
Nawahitaji mawakala wa mauzo kwa mkoa wa Morogoro na Wilaya zake zote.

Bidhaa Ni JikoKoa, Aina ya majiko ya kisasa yanayopunguza matumizi ya mkaa kwa hadi 70%.

Majiko Ni mazuri na yanapendwa Sana. kampuni yetu inauza jiko moja kwa 46,000 tu, ukilinganisha na kampuni zingine wanaouza 120,000 kwa jiko moja! Kwa unafuu huo, majiko yetu yanauzika zaidi.

Malipo yapo ya Aina tatu:
1. COMMISSION ya 7,000 kwa jiko moja
2. NAULI Aina mbili;
  • wakala akiuza majiko 29 kushuka chini atapata nauli 57,500 kwa mwezi.
  • wakala akiuza majiko kuanzia 30 na kuendelea atapata nauli ya 115,000 kwa mwezi.

3. BONUS NI ZA AINA TATU:
-wakala akiuza majiko 30 Hadi 44 atapata bonus 80,000 mwezi huo.
  • Akiuza majiko 45-59 atapata bonus ya 180,000.
  • Akiuza majiko 60-79 atapata bonus ya 275,000.
  • Akiuza majiko 80-100 atapata bonus ya 425,000.

NB: Ni kwa Mkoa wa Morogoro tu!

Wakala njoo WhatsApp au simu au SMS 0621149433
 
Muonekano wa jikokoa likiwa na Moto na sufuria
 
Attachments

  • Screenshot_20230110-065042_1673322749641.jpg
    32.8 KB · Views: 13
Jikokoa linakuja na ukubwa tofauti, pia Kuna yanayotumia kuni
 
Muonekano wa jikokoa kutoka juu
 
Muonekano wa jikokoa kutoka chini
 
JikoKoa likiwa kwenye box lake. Pia Lina warrant ya mwaka mmoja!
 
Yaukweli sana lakini bei imelenga kwa watumiaji wenye kipato cha kati...

Hizo waya hapo ndani kati zina umadhubuti kiasi gani? Make inavyoonesha hapo ndani moto ni mkali sana kwahiyo kama waya sio imara ni mapema sana jiko linachakaa.
 
Huo wavu Ni chuma maalum yenye melting point ya juu Sana, haiyeyushwi kwa moto wa kawaida. Ndiyo maana tunatoa warrant ya mwaka mzimaa
 
Wanahitajika mawakala wa mauzo kwa mkoa wa Morogoro na Wilaya zake zote.

Bidhaa Ni JikoKoa, Aina ya majiko ya kisasa yanayopunguza matumizi ya mkaa kwa hadi 70%.

Majiko Ni mazuri na yanapendwa Sana. kampuni yetu inauza jiko moja kwa 46,000 tu, ukilinganisha na kampuni zingine wanaouza 120,000 kwa jiko moja! Kwa unafuu huo, majiko yetu yanauzika zaidi.

Malipo yapo ya Aina tatu:
1. COMMISSION ya 7,000 kwa jiko moja
2. NAULI Aina mbili;
wakala akiuza majiko 29 kushuka chini atapata nauli 57,500 kwa mwezi.
wakala akiuza majiko kuanzia 30 na kuendelea atapata nauli ya 115,000 kwa mwezi.

3. BONUS NI ZA AINA TATU:
-wakala akiuza majiko 30 Hadi 44 atapata bonus 80,000 mwezi huo.
Akiuza majiko 45-59 atapata bonus ya 180,000.
Akiuza majiko 60-79 atapata bonus ya 275,000.
Akiuza majiko 80-100 atapata bonus ya 425,000.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…