Nahitaji mawasiliano ya Afisa Elimu wa mkoa wa Rukwa na Afisa elimu wa wilaya ya Kalambo

Aristotle J8

Member
Joined
May 29, 2021
Posts
77
Reaction score
95
Samahanini wa kuu naomba msaada wa mawasiliano ya Afisa Elimu wa mkoa wa RUKWA na Afisa Elimu wa wilaya ya Kalambo.

Tafadhalini naombeni msaada kwenu.
 
Samahanini wa kuu naomba msaada wa mawasiliano ya Afisa Elimu wa mkoa wa RUKWA Na Afisa Elimu wa wilaya ya Kalambo. Tafadhalini naombeni msaada kwenu
We ukiwa umejilaza kwa Shemeji Manzese huku unaangalia tamthilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…