Nahitaji mawazo yenu

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
238
Reaction score
954
Hello!

Kitambaa gani cha sofa kizuri ambacho rangi ya ung'avu inadumu kwa muda mrefu.

Kitanda gani kizuri kati ya kile chenye uvungu na kisicho na uvungu (kitanda cha box)?
 
Dah! Nilipita mahala nikakipenda nikabeba. Kina miaka 2 sasa naona bado kiko poa au ndio nijiandae muda wowote 🥺
Kama hadi miaka miwili naona kipo
Poa. Vingi vinaanza majanga mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…