duh pole kijana. ila mwana sasa mie naogopa kitu kimoja. kwa kuwa wewe umekuwa unabeba wa wenzako mentality yako ilishakuwa kuwa wanawake wote kwisha bebwa na kweli mwana wengi wao wapo na vijeba. anyways for noww kijana ushauri ni kwamba dont hurry into this matter...make sure kwanza kabisa wewe unataka mke mwenye sifa zipi both in physical appearance and character wise. baada ya hapo sasa ndio unaanza msako mwana bila pressure kijana 27 bado u got time .