Nahitaji mayai ya kisasa kuanzia Trei 100- 300 nipo Dar es Salaam

Fahad mayai

Member
Joined
Dec 17, 2019
Posts
27
Reaction score
11
Kwa wafugaji tu.

Nanunua mayai ya kisasa kwa tsh 5400, uhitaji ni wa kwanzia tray 300 ndio nafata shamba ila kama ataleta yeye hata 100 ni sawa.

Kiini kiwe cha njano na yasiwe madogo, napatikana Dar es salaam iIlala mtaa wa Tunduru opposite na club ya wazee mawasiliano 0625602775.

Angalizo: Sifanyi malipo kwa njia za simu au bank, nalipa cash na mpaka nitapoona mzigo.
 
Kwa wafugaji tu.

Nanunua mayai ya kisasa kwa tsh 5400, uhitaj ni wa kwanzia tray 300 ndio nafata shamba ila kama ataleta yeye hata 100 ni sawa.

Kiini kiwe cha njano na yasiwe madogo, napatikana dar es salaam ilala mtaa wa tunduru opposite na club ya wazee mawasiliano 0625602775.

Angalizo: sifanyi malipo kwa njia za simu au bank, nalipa cash na mpaka nitapoona mzigo
Tatizo bei ya mayayi sio kama bei ya soda, kwa sasa tunanunua kutoka shamba 5800 nauza kuanzia 6500 mpaka 7000. Na bei huwa zinapanda sana. sasa mtu anataka apate kwa 5400.
 
Hiyo kitu nmeandika mwez april zaid ya miez 3 nyuma saa mnalalamika bei nlokuwa nachokulia kipimd hiko huku mnalinganisha na ya sasa ili hali mnajua mayai yanapnda na kushuka
 
Pia me mwenyewe nanunua kwa wafugaji na kuuza kwa jumla, nauza 6700 na mengine 7200 bei ya sasa hiv
 
Kwa wafugaji tu.

Nanunua mayai ya kisasa kwa tsh 5400, uhitaj ni wa kwanzia tray 300 ndio nafata shamba ila kama ataleta yeye hata 100 ni sawa.

Kiini kiwe cha njano na yasiwe madogo, napatikana dar es salaam ilala mtaa wa tunduru opposite na club ya wazee mawasiliano 0625602775.

Angalizo: sifanyi malipo kwa njia za simu au bank, nalipa cash na mpaka nitapoona mzigo
Yapo kwa 6500 tray kuanzia tray 300 unapata nicheki 0756626526
 
Kwa wafugaji tu.

Nanunua mayai ya kisasa kwa tsh 5400, uhitaj ni wa kwanzia tray 300 ndio nafata shamba ila kama ataleta yeye hata 100 ni sawa.

Kiini kiwe cha njano na yasiwe madogo, napatikana dar es salaam ilala mtaa wa tunduru opposite na club ya wazee mawasiliano 0625602775.

Angalizo: sifanyi malipo kwa njia za simu au bank, nalipa cash na mpaka nitapoona mzigo
5,400/30
= 180 kwa Yai 1
 
Back
Top Bottom