Fahad mayai
Member
- Dec 17, 2019
- 27
- 11
Tatizo ni kiini cha njano. yani nivunje mayai yote nimuonyeshe kiini? si hasara hii.Hapa mbona hamchangii
Tatizo bei ya mayayi sio kama bei ya soda, kwa sasa tunanunua kutoka shamba 5800 nauza kuanzia 6500 mpaka 7000. Na bei huwa zinapanda sana. sasa mtu anataka apate kwa 5400.Kwa wafugaji tu.
Nanunua mayai ya kisasa kwa tsh 5400, uhitaj ni wa kwanzia tray 300 ndio nafata shamba ila kama ataleta yeye hata 100 ni sawa.
Kiini kiwe cha njano na yasiwe madogo, napatikana dar es salaam ilala mtaa wa tunduru opposite na club ya wazee mawasiliano 0625602775.
Angalizo: sifanyi malipo kwa njia za simu au bank, nalipa cash na mpaka nitapoona mzigo
Kaua band huyoTatizo bei ya mayayi sio kama bei ya soda, kwa sasa tunanunua kutoka shamba 5800 nauza kuanzia 6500 mpaka 7000. Na bei huwa zinapanda sana. sasa mtu anataka apate kwa 5400.
Unayo bado ndugu bei gani sasa na ofisi wapiPia me mwenyewe nanunua kwa wafugaji na kuuza kwa jumla, nauza 6700 na mengine 7200 bei ya sasa hiv
Yapo kwa 6500 tray kuanzia tray 300 unapata nicheki 0756626526Kwa wafugaji tu.
Nanunua mayai ya kisasa kwa tsh 5400, uhitaj ni wa kwanzia tray 300 ndio nafata shamba ila kama ataleta yeye hata 100 ni sawa.
Kiini kiwe cha njano na yasiwe madogo, napatikana dar es salaam ilala mtaa wa tunduru opposite na club ya wazee mawasiliano 0625602775.
Angalizo: sifanyi malipo kwa njia za simu au bank, nalipa cash na mpaka nitapoona mzigo
5,400/30Kwa wafugaji tu.

Yanafikaga hadi elf 55,400/30
= 180 kwa Yai 1