Nahitaji mayai ya kisasa kwa bei ya jumla

Nahitaji mayai ya kisasa kwa bei ya jumla

NGATUNGAA

Member
Joined
Sep 8, 2020
Posts
20
Reaction score
4
Habari,

Nahitaji mtu ambaye anauza mayai kwa Bei ya jumla.

Nipo Dar es salaam.

Nahitaji kufungua duka la mayai
 
Nipo mkoa fulani trey ya mayai ya kisasa kwa sasa ni 10500

Nawaza namna ya kusafirisha kichww kinauma.
 
Back
Top Bottom