Nahitaji mayai ya kisasa kwa wingi

Nahitaji mayai ya kisasa kwa wingi

Habari natafuta mfugaji wa kuku wa layers nahitaji mayai ya kisasa kwa wingi alieko dar au pwani tuwasiliane kwa no 0685104688 au 0627345358
Wewe ni dalali tu! Hauna lolote... Ili upigiwe ulaze bei si eti!?... Kwa kigezo kuwa unayahitaji kwa wingi!?.... Haupajui Kitunda!?
 
Back
Top Bottom