Nahitaji mayai ya kisasa, nipo Dar

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Bonjour

Natafuta mayai ya kisasa, Kwa bei ya jumla, ingependeza nipate direct kutoka Kwa mfugaji ..

Yawe na sifa ya ukubwa na kiini Cha njano

Uwe dar es salaam

0742596431
 
Njoo Dm nikutumipe link ya group la whasap la wauzaji wa mayai
 
Bonjour

Natafuta mayai ya kisasa, Kwa bei ya jumla, ingependeza nipate direct kutoka Kwa mfugaji ..

Yawe na sifa ya ukubwa na kiini Cha njano

Uwe dar es salaam

0742596431
Ofa yako kwa trei moja sh ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…