Fahad mayai Member Joined Dec 17, 2019 Posts 27 Reaction score 11 Jun 21, 2020 #1 Natafuta mfugaji mwenye mayai ya kuku wa kisasa aliepo Dar, Mlandizi, Chalinze, Kibaha. Bei 6500 ndo nnayo nunulia nnahitaji tray 200, mawasiliano 0625602775 napataikana Dar es salaam ilala amana
Natafuta mfugaji mwenye mayai ya kuku wa kisasa aliepo Dar, Mlandizi, Chalinze, Kibaha. Bei 6500 ndo nnayo nunulia nnahitaji tray 200, mawasiliano 0625602775 napataikana Dar es salaam ilala amana
Entreprenuare JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,616 Reaction score 1,727 Jun 22, 2020 #2 Ukipata naomba na mm unijulishe
G Golobeja Member Joined Aug 20, 2017 Posts 93 Reaction score 98 Aug 22, 2020 #3 Fahad mayai said: Natafuta mfugaji mwenye mayai ya kuku wa kisasa aliepo Dar, Mlandizi, Chalinze, Kibaha. Bei 6500 ndo nnayo nunulia nnahitaji tray 200, mawasiliano 0625602775 napataikana Dar es salaam ilala amana Click to expand... Bado unahitaji
Fahad mayai said: Natafuta mfugaji mwenye mayai ya kuku wa kisasa aliepo Dar, Mlandizi, Chalinze, Kibaha. Bei 6500 ndo nnayo nunulia nnahitaji tray 200, mawasiliano 0625602775 napataikana Dar es salaam ilala amana Click to expand... Bado unahitaji
S Shayla Senior Member Joined Mar 25, 2014 Posts 193 Reaction score 129 Aug 22, 2020 #4 Nahitaji mkuu Sent from my Nokia 7 plus using JamiiForums mobile app
Tajiri wa Magomeni JF-Expert Member Joined Aug 21, 2019 Posts 4,274 Reaction score 2,935 Aug 22, 2020 #5 ya kienyeji yanapatikana kwa Dar?
Fahad mayai Member Joined Dec 17, 2019 Posts 27 Reaction score 11 Aug 27, 2020 Thread starter #6 Golobeja said: Bado unahitaji Click to expand... Inategemea na bei unayouzia, nipe contact zako nkucheck
Golobeja said: Bado unahitaji Click to expand... Inategemea na bei unayouzia, nipe contact zako nkucheck