Mjasiriamali M
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 142
- 69
wale wafugaji wote wa humu wamekwenda wapi ? Au bei ni ndogo ?
Katika pita pita zangu humu nimeshaona matangazo kadhaa ya wadau wanauza mayai sasa wewe umewaletea offer siwaoni tena ngoja tuwape muda mpaka hapo kesho hopefully watakuwa wameshaamkaTangazo Nimeliweka Usiku, Hopeful watakuja wakilisoma asubuhi..#KeyserSoze .
Hawajaja tu..., cheki kwenye matangazo ya wauza kuku wote uwaulize
baadhi ni hawa
https://www.jamiiforums.com/nafasi-...-nauza-mayai-ya-kuku-wa-kisasa-bei-nafuu.html
https://www.jamiiforums.com/ujasiri...kisasa-kwa-sh-6000-=-tu-kwa-bei-ya-jumla.html
https://www.jamiiforums.com/nafasi-...-nauza-mayai-ya-kuku-wa-kisasa-bei-nafuu.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...u-wa-kisasa-idadi-yeyote-ile-tuwasiliane.html
Yaani nashangaa kila siku tunalalamika soko alafu mdau anaweka tangazo hii siku ya pili ninayejibu ni mimi tu ambaye hata maganda ya mayai sina..., Changamkieni Fursa bana hata kama bei ndogo mnaweza mkaelewena
Okay...., Kumbe, sasa si mgemwambia aongeze ongeze kuliko kumchunia huenda akadhani fonts anazoandikia ni invisible na watu hawazioni..Mkuu bei ya vyakula imepanda sana..now mayai ni 6500 kwa tray..
Bei ya jamaa ni ndogo hata kwa jumla.Ndio maana hakuna labda aliyejibu.
Okay...., Kumbe, sasa si mgemwambia aongeze ongeze kuliko kumchunia huenda akadhani fonts anazoandikia ni invisible na watu hawazioni..
Biashara haigombi huenda mkafikia muafaka
Ahaaa ahaaaaa...zinaonekana.
Wapo watakaokuja.
ila kama chakula bei mbaya mtu si akichanganya mwenyewe na kununua kwa jumla si mtu anapunguza gharama.., Pia hivi tuseme mtu umenunua chakula kwa bei mbaya kabisa.., break even point (kurudisha pesa ya chakula na madawa) inabidi kuuza kiasi gani kwa tray..., hapo kabla hatujaweka faida
Nimewawekea Nafasi ya Wao Kuleta Ofa zao, naona kuna shortage ya supply ila hii huwa ni msimu tu maana hata mimi ni mfugaji ispokuwa kuku wangu wanafikia ukomo wa kutaga na nna wauza soon, nna soko ambalo sihitaji kulipoteza thats y nimekuja huku. kweli chakula kimepanda ila hata kama utanunua chakula pure bila kuchakachua inalipa coz nimepitia huko mpaka nikaanza kuwachanganyia na pumba kidogo mpaka now wanakula pumba tu na wanataga.Ukikosea kidogo inakula kwako mkuu ndo maana watu wanaaamua kununua kilichotayarishwa
Hapo Kwenye Broilers.. Nicheki sms tuongee kidogo.Poapoa mkuu vili na kuku wa broiler huna soko nasi tutanue huko
Asante ndugu #Zanzibar Spices, Ndo Hivyo lkn suppliers siwaoni though wapo walionicheki kwa sms ila bado nna uhitaji mkubwa. Tubarikiwe Sote.Duhh,aisee hi nchi kweli kiboko.
Yaani jamaa ametoa Tender kubwa lakini watu wamesepa.
Ingekuwa jukwaa letu la Siasa post ingejaa,hahaha
Fursa kumbe zipo aisee,hii inaonyesha kwamba badi nchi haijaweza kuzalisha mayai kiasi chakutosha.
Nakupongeza sana Mjasiriamali kwa kujali wenzako,hii ndio inatakiwa kwa mfanyabishara kuwa na upendo kwa wenzio.
Yaani huu umoja wa namna hii ni mzuri sana,maana kuna watu wana order kubwa kuliko uwezo wao,lakini wapo tayari soko life lakini hampi tender mwenzie,kisa roho mbaya Tu
Ubarikiwe Mjasiriamali
Tangazo la mwaka 2015 hiloMkuu mm nafanya biashara ya mayai lakini kwa hio bei yako ya 5700 duu IPO chini sana labda upate wafugaji wakubwa sana wenye kuku 5000+ ndo utapata kwa io bei yako, kumbuka pia bei ya mayai hupanda na kushuka na yakipanda kwa hio bei yako hupati mtu