Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kariakoo mtaa wa Pemba Kuna jamaa wanauzzaga pale. Mzigo upo wa kutosha Kona zileHabari wadau. Nahitaji maziwa ya unga kiwango cha jumla. Yaani kama nipate mtu wa kiwandani ambaye ataweza nifaulishia wastani wa kilo 500 kila wiki.
Nani ana connection? [emoji848]
Hivi haya maziwa kule tandika kwa wapemba hamna?Nenda kariakoo mtaa wa Pemba Kuna jamaa wanauzzaga pale. Mzigo upo wa kutosha Kona zile
Kariakoo ulipata?Sijaenda huko kutazama.
Wqnakosaje wakat ndo mambo zao hizoHivi haya maziwa kule tandika kwa wapemba hamna?