Nahitaji maziwa ya unga ya jumla kwenye viroba

Zemanda

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
8,323
Reaction score
18,051
Habari wadau. Nahitaji maziwa ya unga kiwango cha jumla. Yaani kama nipate mtu wa kiwandani ambaye ataweza nifaulishia wastani wa kilo 500 kila wiki.

Nani ana connection? [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…